Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ndo ume comment nini sasa hapa? Yaani ndo akili zako zimeishia hapa? Nilikuaga nakuheshimu ila its official, nakudharau.Next time wape picha ya Mbowe ufurahi
Hicho kiuwanja kilifungiwa sijui nani alitoa idhini tena ya kuchezewa mechi..Tulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe ,
Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala hakuwahi hata kupiga danadana , na wala sikumbuki siku aliyowahi kuingia uwanjani kushuhudia soka , kama wabeba picha wanazibeba kwa vile Rais ananunua magoli basi wanapaswa kujiuliza kama hela za kununua magoli hayo anazitoa mfukoni mwake au la
Michezo ndio sehemu pekee inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti , kuanzia wachezaji , mashabiki na watazamaji , maana usione wachezaji wanachezea Timu ya Taifa basi ukadhani wote ni ccm , sasa kuanza kumpigia debe Mwenyekiti wa CCM kwenye soka ya umma mtachafua hali ya hewa
Jitahidini kushangilia soka bila kuleta siasa za kijinga , Hatutakubali na iko siku kitanuka .
Tabia hii ya Kishamba inaweza kuwa sababu ya kuitia gundu Taifa Stars Kushindwa kufanikiwa .
TUHESHIMIANE .
Rais ni wa wote na ndio maana picha yake itabebwa na kila mtu hadi atoke madarakani. Endelea kutumia.Tulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe ,
Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala hakuwahi hata kupiga danadana , na wala sikumbuki siku aliyowahi kuingia uwanjani kushuhudia soka , kama wabeba picha wanazibeba kwa vile Rais ananunua magoli basi wanapaswa kujiuliza kama hela za kununua magoli hayo anazitoa mfukoni mwake au la
Michezo ndio sehemu pekee inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti , kuanzia wachezaji , mashabiki na watazamaji , maana usione wachezaji wanachezea Timu ya Taifa basi ukadhani wote ni ccm , sasa kuanza kumpigia debe Mwenyekiti wa CCM kwenye soka ya umma mtachafua hali ya hewa
Jitahidini kushangilia soka bila kuleta siasa za kijinga , Hatutakubali na iko siku kitanuka .
Tabia hii ya Kishamba inaweza kuwa sababu ya kuitia gundu Taifa Stars Kushindwa kufanikiwa .
TUHESHIMIANE .
[emoji38][emoji38][emoji38]Ndo ume comment nini sasa hapa? Yaani ndo akili zako zimeishia hapa? Nilikuaga nakuheshimu ila its official, nakudharau.
Upesi edit jina lako from the boss to the pimbi
Umeona nchi gani nyingine picha za Rais zinapeperushwa Uwanjani ?Rais ni wa wote na ndio maana picha yake itabebwa na kila mtu hadi atoke madarakani. Endelea kutumia.
Tabia za kutumia pesa zetu kuwapa watu wanajifurahisha sijapendezwa nayo,Tulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe ,
Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala hakuwahi hata kupiga danadana , na wala sikumbuki siku aliyowahi kuingia uwanjani kushuhudia soka , kama wabeba picha wanazibeba kwa vile Rais ananunua magoli basi wanapaswa kujiuliza kama hela za kununua magoli hayo anazitoa mfukoni mwake au la
Michezo ndio sehemu pekee inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti , kuanzia wachezaji , mashabiki na watazamaji , maana usione wachezaji wanachezea Timu ya Taifa basi ukadhani wote ni ccm , sasa kuanza kumpigia debe Mwenyekiti wa CCM kwenye soka ya umma mtachafua hali ya hewa
Jitahidini kushangilia soka bila kuleta siasa za kijinga , Hatutakubali na iko siku kitanuka .
Tabia hii ya Kishamba inaweza kuwa sababu ya kuitia gundu Taifa Stars Kushindwa kufanikiwa .
TUHESHIMIANE .
Wewe umeona viwanja vya nchi ngapi hawapeperushi picha za Rais wao?Umeona nchi gani nyingine picha za Rais zinapeperushwa Uwanjani ?
Kweli Aiseeeee !!! Maana taa zimezima kwa uzembe wao halafu picha ya Rais inapepea ! noma kweli yaani !Waswahili wanasema kuchamba kwingi kuondoka na mavi,hawa chawa jana ndiyo hasa wamemtweza Rais, kipindi kile mchezo umesimama ndiyo walikuwa wazidi kuionyesha picha ya Rais, ile ni dhihaka kubwa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Jina lako na jibu lako + post nimebaki kuchekaππSawa
kimbaTulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe ,
Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala hakuwahi hata kupiga danadana , na wala sikumbuki siku aliyowahi kuingia uwanjani kushuhudia soka , kama wabeba picha wanazibeba kwa vile Rais ananunua magoli basi wanapaswa kujiuliza kama hela za kununua magoli hayo anazitoa mfukoni mwake au la
Michezo ndio sehemu pekee inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti , kuanzia wachezaji , mashabiki na watazamaji , maana usione wachezaji wanachezea Timu ya Taifa basi ukadhani wote ni ccm , sasa kuanza kumpigia debe Mwenyekiti wa CCM kwenye soka ya umma mtachafua hali ya hewa
Jitahidini kushangilia soka bila kuleta siasa za kijinga , Hatutakubali na iko siku kitanuka .
Tabia hii ya Kishamba inaweza kuwa sababu ya kuitia gundu Taifa Stars Kushindwa kufanikiwa .
TUHESHIMIANE .
Huo ni unjinga wa kiwango cha lamiTulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe ,
Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala hakuwahi hata kupiga danadana , na wala sikumbuki siku aliyowahi kuingia uwanjani kushuhudia soka , kama wabeba picha wanazibeba kwa vile Rais ananunua magoli basi wanapaswa kujiuliza kama hela za kununua magoli hayo anazitoa mfukoni mwake au la
Michezo ndio sehemu pekee inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti , kuanzia wachezaji , mashabiki na watazamaji , maana usione wachezaji wanachezea Timu ya Taifa basi ukadhani wote ni ccm , sasa kuanza kumpigia debe Mwenyekiti wa CCM kwenye soka ya umma mtachafua hali ya hewa
Jitahidini kushangilia soka bila kuleta siasa za kijinga , Hatutakubali na iko siku kitanuka .
Tabia hii ya Kishamba inaweza kuwa sababu ya kuitia gundu Taifa Stars Kushindwa kufanikiwa .
TUHESHIMIANE .
unamheshimu unamjua?unaheshimu I'D feki! kama unamjua sawa ila kama humjui basi wewe ndio pimbiNdo ume comment nini sasa hapa? Yaani ndo akili zako zimeishia hapa? Nilikuaga nakuheshimu ila its official, nakudharau.
Upesi edit jina lako from the boss to the pimbi
Mke wangu mbona una washwa washwa sana na mambo yasiyokuhusu?unamheshimu unamjua?unaheshimu I'D feki! kama unamjua sawa ila kama humjui basi wewe ndio pimbi
Hamtakubali wewe na wajinga wenzio siyo? Mtumeni mjiga wenu mkubwa aanze kukataa tuone.Ni wajinga sana hao jamaa , lakini hatutakubali .
tulia we changingi acha mapepeMke wangu mbona una washwa washwa sana na mambo yasiyokuhusu?
Hongera sana !Hamtakubali wewe na wajinga wenzio siyo? Mtumeni mjiga wenu mkubwa aanze kukataa tuone.