Ni aibu na ni Ujinga kupeperusha picha ya Rais kwenye uwanja wenye Taa mbovu

Tulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe ,

Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala hakuwahi hata kupiga danadana , na wala sikumbuki siku aliyowahi kuingia uwanjani kushuhudia soka , kama wabeba picha wanazibeba kwa vile Rais ananunua magoli basi wanapaswa kujiuliza kama hela za kununua magoli hayo anazitoa mfukoni mwake au la

Michezo ndio sehemu pekee inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti , kuanzia wachezaji , mashabiki na watazamaji , maana usione wachezaji wanachezea Timu ya Taifa basi ukadhani wote ni ccm , sasa kuanza kumpigia debe Mwenyekiti wa CCM kwenye soka ya umma mtachafua hali ya hewa

Jitahidini kushangilia soka bila kuleta siasa za kijinga , Hatutakubali na iko siku kitanuka .

Tabia hii ya Kishamba inaweza kuwa sababu ya kuitia gundu Taifa Stars Kushindwa kufanikiwa .

TUHESHIMIANE .
Hicho kiuwanja kilifungiwa sijui nani alitoa idhini tena ya kuchezewa mechi..

Of course hapo Wamepata aibu ya kutosha,Taa mbovu Timu imefungwa na mabango yamefichwa.
 
Tulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe ,

Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala hakuwahi hata kupiga danadana , na wala sikumbuki siku aliyowahi kuingia uwanjani kushuhudia soka , kama wabeba picha wanazibeba kwa vile Rais ananunua magoli basi wanapaswa kujiuliza kama hela za kununua magoli hayo anazitoa mfukoni mwake au la

Michezo ndio sehemu pekee inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti , kuanzia wachezaji , mashabiki na watazamaji , maana usione wachezaji wanachezea Timu ya Taifa basi ukadhani wote ni ccm , sasa kuanza kumpigia debe Mwenyekiti wa CCM kwenye soka ya umma mtachafua hali ya hewa

Jitahidini kushangilia soka bila kuleta siasa za kijinga , Hatutakubali na iko siku kitanuka .

Tabia hii ya Kishamba inaweza kuwa sababu ya kuitia gundu Taifa Stars Kushindwa kufanikiwa .

TUHESHIMIANE .
Rais ni wa wote na ndio maana picha yake itabebwa na kila mtu hadi atoke madarakani. Endelea kutumia.
 
Tulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe ,

Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala hakuwahi hata kupiga danadana , na wala sikumbuki siku aliyowahi kuingia uwanjani kushuhudia soka , kama wabeba picha wanazibeba kwa vile Rais ananunua magoli basi wanapaswa kujiuliza kama hela za kununua magoli hayo anazitoa mfukoni mwake au la

Michezo ndio sehemu pekee inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti , kuanzia wachezaji , mashabiki na watazamaji , maana usione wachezaji wanachezea Timu ya Taifa basi ukadhani wote ni ccm , sasa kuanza kumpigia debe Mwenyekiti wa CCM kwenye soka ya umma mtachafua hali ya hewa

Jitahidini kushangilia soka bila kuleta siasa za kijinga , Hatutakubali na iko siku kitanuka .

Tabia hii ya Kishamba inaweza kuwa sababu ya kuitia gundu Taifa Stars Kushindwa kufanikiwa .

TUHESHIMIANE .
Tabia za kutumia pesa zetu kuwapa watu wanajifurahisha sijapendezwa nayo,
 
hahahahahaaha. aliwaita KICHWA CHA MWENDAWAZIMU hakukosea KABISA..Watanzania mpira hamjui
 
Waswahili wanasema kuchamba kwingi kuondoka na mavi,hawa chawa jana ndiyo hasa wamemtweza Rais, kipindi kile mchezo umesimama ndiyo walikuwa wazidi kuionyesha picha ya Rais, ile ni dhihaka kubwa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kweli Aiseeeee !!! Maana taa zimezima kwa uzembe wao halafu picha ya Rais inapepea ! noma kweli yaani !
 
Tulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe ,

Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala hakuwahi hata kupiga danadana , na wala sikumbuki siku aliyowahi kuingia uwanjani kushuhudia soka , kama wabeba picha wanazibeba kwa vile Rais ananunua magoli basi wanapaswa kujiuliza kama hela za kununua magoli hayo anazitoa mfukoni mwake au la

Michezo ndio sehemu pekee inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti , kuanzia wachezaji , mashabiki na watazamaji , maana usione wachezaji wanachezea Timu ya Taifa basi ukadhani wote ni ccm , sasa kuanza kumpigia debe Mwenyekiti wa CCM kwenye soka ya umma mtachafua hali ya hewa

Jitahidini kushangilia soka bila kuleta siasa za kijinga , Hatutakubali na iko siku kitanuka .

Tabia hii ya Kishamba inaweza kuwa sababu ya kuitia gundu Taifa Stars Kushindwa kufanikiwa .

TUHESHIMIANE .
kimba
 
Huo ni unjinga wa kiwango cha lami
 
Ndo ume comment nini sasa hapa? Yaani ndo akili zako zimeishia hapa? Nilikuaga nakuheshimu ila its official, nakudharau.

Upesi edit jina lako from the boss to the pimbi
unamheshimu unamjua?unaheshimu I'D feki! kama unamjua sawa ila kama humjui basi wewe ndio pimbi
 
Back
Top Bottom