Ni aibu sana baba mtu mzima kugombea mapaja na vidari na wanao, kula shingo uongeze urijali

Ni aibu sana baba mtu mzima kugombea mapaja na vidari na wanao, kula shingo uongeze urijali

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,591
Reaction score
6,114
Jana usiku nilikuwa na jopo la madaktari bingwa waliobobea kwenye masuala ya tafiti hasa lishe ,afya na uzazi.

Miongoni mwa madaktari niliokuwa nao Ni njiwa, Dr. Bujibuji, Mwifwa, Ritz, Mshana Jr, MziziMkavu & Baba Swalehe.

Jopo hili limegundua kuwa wamama huzichoma shingo za kuku na kuwa ngumu, kisha huburudika nazo kwenye kinywa cha pili.

Wito:
Wanaume tukatae dhuluma hii, nyie kuleni kuku sisi tuachieni shingo. Hata kama hatuzili, tutajua pa kuziweka.

Pascal Mayalla tuandalie makala yetu juu ya hili bandiko
 
Kwanini @pascalmayala. Siku hizi mnataka kumuhushisha na mada zenu ambazo hazieleweki,
Anahusika tu, asiyusike kwani yeye Nani? Au alipotwa Dodoma alikutanishwa na fagio la chuma?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ama kweli, shingo na miguu waweke pembeni
 
Hapo kuna mmoja sijadidhika kabisa na cheo ulichompa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Heci,
 
Huhuhu wat a funny post , nmetoka kapa
 
Back
Top Bottom