Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga oyee[emoji1] [emoji1]Ooh. Sawa Mwanajangwani mwenzangu.
Kidogo Leo umeandika point, naona mawazo ya kuvurugwa yamepunguaYani unakuta limwanaume linanunua keki kabisa, linanunua vikofia vile vya watoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti maandalizi ya birthday yake, wanaume wameisha tanzania.
Kusheherekea ni utoto sana ile unakaa sehemu na marafiki zako,mpenzi wako mnakunywa na kula kimya kimya sio lazima uimbiwe happy bday kama mtoto wa chekechea ni aibu sana kwa wanaume wa tanzania, na haka katabia kakumwagiana maji ndio upuuzi wa hali ya juu, baba jitu zima na mdambi wake tai kubwa unakuta linakimbizana na ndoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii aibu sijui hata tuifiche wap.
Niwatakie siku njema ya kuzaliwa
Mshana Jr
hazard cfc
Kusherehekea siku ya kuzaliwa ni utoto FULL STOP!Yani unakuta limwanaume linanunua keki kabisa, linanunua vikofia vile vya watoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti maandalizi ya birthday yake, wanaume wameisha tanzania.
Kusheherekea ni utoto sana ile unakaa sehemu na marafiki zako,mpenzi wako mnakunywa na kula kimya kimya sio lazima uimbiwe happy bday kama mtoto wa chekechea ni aibu sana kwa wanaume wa tanzania, na haka katabia kakumwagiana maji ndio upuuzi wa hali ya juu, baba jitu zima na mdambi wake tai kubwa unakuta linakimbizana na ndoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii aibu sijui hata tuifiche wap.
Niwatakie siku njema ya kuzaliwa
Mshana Jr
hazard cfc
Aisee bora umeliona hili. kwa kweli hili jambo linanikera sana. wanaume hii tabia siyo ya kiuanaume kabisa waachieni wanawake wafanye.Yani unakuta limwanaume linanunua keki kabisa, linanunua vikofia vile vya watoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti maandalizi ya birthday yake, wanaume wameisha tanzania.
Kusheherekea ni utoto sana ile unakaa sehemu na marafiki zako,mpenzi wako mnakunywa na kula kimya kimya sio lazima uimbiwe happy bday kama mtoto wa chekechea ni aibu sana kwa wanaume wa tanzania, na haka katabia kakumwagiana maji ndio upuuzi wa hali ya juu, baba jitu zima na mdambi wake tai kubwa unakuta linakimbizana na ndoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii aibu sijui hata tuifiche wap.
Niwatakie siku njema ya kuzaliwa
Mshana Jr
hazard cfc
Kuna ka ukweli fulani hivi...
Ukishafika umri fulani, birthday yako unasheherekea kimya kimya kwa kula, kunywa, kufurahi... ila siyo kwa style ya watoto...
Cc: mahondaw
Dah...kuna haja ya wanaume kukaa kikao ili kujua kilichomsibu huyu mwanamke....kila Simu yeye na wanaume tuu.... Ikiwezekana mmoja ajitolee tu...Mwanamke una nongwa weye. Huna jema?Kijijini kwetu tunaita nongwa ndodi!
Hahaaaa. Oyeeeeee.Yanga oyee[emoji1] [emoji1]
Naona unatafuta sifa pole sanaHuwa hata tarehe ya kuzaliwa siikumbukagi...