Ni aibu sana kwa mwanaume 27+ kusherekea kwa vitendo siku yako yakuzaliwa

ivi huyu si mumtongoze izi mada kuhusu wanaume ziishe jamani
 
Kidogo Leo umeandika point, naona mawazo ya kuvurugwa yamepungua
 
Hizi sherehe za kuzaliwa siku hizi. Duh noma sana
 
Kusherehekea siku ya kuzaliwa ni utoto FULL STOP!
 
Jinga kabisa mwanaume majukumu unaanza kuiga wafanyayo watoto wadogo na wanawake!!! huo muda unaupata wapi. Ndio hao hao wanaokwenda saloon za kike kufanyiwa make up wawe weupe
 
Aisee bora umeliona hili. kwa kweli hili jambo linanikera sana. wanaume hii tabia siyo ya kiuanaume kabisa waachieni wanawake wafanye.
 
Kuna ka ukweli fulani hivi...

Ukishafika umri fulani, birthday yako unasheherekea kimya kimya kwa kula, kunywa, kufurahi... ila siyo kwa style ya watoto...


Cc: mahondaw
 
Kuna ka ukweli fulani hivi...

Ukishafika umri fulani, birthday yako unasheherekea kimya kimya kwa kula, kunywa, kufurahi... ila siyo kwa style ya watoto...


Cc: mahondaw

Haha naimagne ndo dume zima limevaa kikofia sipati picha kabisa teh..afu Sisi wanawake ndo tunamind birthday kidizain sio kama men
 
Mwanaume ananunua Keki eti anasheherekea siku ya kuzaliwa na mshumaa na kikofia [emoji23] [emoji23] [emoji23].

Kwani mashoga walianza vipi si nao walianza kununua keki baadae wakanunua KY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…