Ni aibu sana kwa mwanaume 27+ kusherekea kwa vitendo siku yako yakuzaliwa

Mtoa mada uko sahihi asilimia zote. Wanaume wa Dar ndo zao hizo mnakumbuka jinsi ALLY REMTULA alivyowawakilisha kwenye kusherekea birthday zenu?
Anaebisha aingie youtube au google kabisaaa.
 
Mtoa mada uko sahihi asilimia zote. Wanaume wa Dar ndo zao hizo mnakumbuka jinsi ALLY REMTULA alivyowawakilisha kwenye kusherekea birthday zenu?
Anaebisha aingie youtube au google kabisaaa.
Sasa huyo ni mwanaume?
 
Demiss hizi ID zako unacheza nazo vizuri sana nakupongeza, Hayo mengine watajua wenyewe
 
Haya mambo yapo mjini,huku kwetu kijijini hakuna na haita tokea
 
Shida hapo ni jinsia au umri? na kwa nini iwe mbaya kwa mwanaume tu lakini kwa mwanamke hujasema kama ni mbaya!

In short, sherehe za siku ya kuzaliwa ni za watoto! lakini hata hivyo ingekuwa vyema kama mungeenda kuwaombea makanisani na misikitini hiyo siku yao ingekuwa na maana sana, zaidi ya hapo ni kujionesha tu!
 
Mie sijawahi fanya hii maneno ila sioni shida kwa wanaofanya sherehe ya kuzaliwa maana wengi wanatafuta picha tu za kuweka kwenye mitandao ya kijamii kutokana na ukweli kwamba zaidi ya cake hakuna matukio mengine ya ziada labda wachache wanaweza kugharamia mapochopocho (ambayo kimsingi ndio huwa nayaona ya maana endapo nitaalikwa)
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Demiss hizi ID zako unacheza nazo vizuri sana nakupongeza, Hayo mengine watajua wenyewe
Duh mkuu mm nina Id moja tu kwanini niwe na id nyingi hivyo nilikuwa sijisikii kuingia Jf ila COMMENT yako imenifanya niandike naomba usinifanye tena niandike chochote
 
Vipi nisherekee kuzaliwa wakati aliyenizaa hayupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…