Leo umesahau cc maondaInasikitisha sana...
Naona babu seya kawachanganya sana.Wana jf
Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
naomba uninunulie,, utakuwa umenisaidia Sana nisionekane mshambaWana jf
Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
Wana jf

huyo atakuwa na pesa za ushirikinaKwahiyo ukiwa na gari, umemaliza kilakitu?kuna MTU anazo nyumba za kupanga 6 za milioni 120 kilamoja na anapanda daladala.utasema huyo ni mshamba wa maisha?akili finyu sana.
acha uongo bahresa tu magari yake yana fika 1000Toka nifike Dar miaka ya 2000 nilikuta kuna magari 67893 kati ya hayo magari 10987 yalikuwa ya watu binafsi nikawaza nikinunua gari moja wakati sina nyumba nitasaidia nini nikajenga nyumba sasa hivi wenye magari yao wanalala kwangu na magari yao, wamenipa kodi kesho niaenda kununua Kichwa cha Treni.
Tatizo lako kuu ni kuwa Hujui Kusoma.acha uongo bahresa tu magari yake yana fika 1000
we unajua kusoma?Tatizo lako kuu ni kuwa Hujui Kusoma.