Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Akarogwe ?Gombea uenyekiti yanga ukaiboreshe itapendeza sana
Hapana, nendeni Bunju.Ulitaka tuende kaunda
Mkuu umeongea kitu ki kubwa sana. Na hizo timu za Kariakoo ndio mzizi wa kubemendwa kwa Soka letu!Simba na Yanga maneno mengi kama waimba taarabu, vitendo ziro!!!!!
Yanga kumfunga Simba na Simba kumfunga Yanga hayo ndio wanaona ni mafanikio!!!!
Kweli mkuu. Washabiki wa timu hizi wengi mashabiki wa Chama chetu.moja ya team hopeless nadhani hizi zinaongoza...
cha ajabu mashabiki wake wanasifia kufungana tu huku club hazina maendeleo
Ni kweli. Upo sahihi. Watanzania tuzipe nguvu timu zetu za mikoani. MCC, MBAO, SINGIDA FC, NJOMBE, hizi zinaweza kutuvusha km tutazipa support!Watanzania tunatakiwa tubadilike sio kila kukicha eti simba mara sijui yanga.
Tuiunge mkono timu ya AZAM FC,,,,tuachane na USIMBAYANGA
miradi ya watu.na ukija kugundua unaona kila siku ndio timu ambazo zina ingiza mapato mengi.katika mechi zaoHivi hizi timu kongwe za Tanzania, Simba na Yanga zitaacha lini kudeka nakupenda kutumia rasilimali za wengine.
Inatia aibu na huruma pale timu kongwe kama Yanga yenye miaka zaidi ya 80 toka kuanzishwa kwake kutumia uwanja wa Azam Fc ya mwaka 2007.
Ni aibu kubwa kwa wana Yanga wenzangu sijui hata tuweke wapi sura zetu!
Povu ruksa...
Kaunda inahitaji kifusi, nawashauri Yanga waweke order mapema pale jengo la tanescoUlitaka tuende kaunda
Ni kweli. Upo sahihi. Watanzania tuzipe nguvu timu zetu za mikoani. MCC, MBAO, SINGIDA FC, NJOMBE, hizi zinaweza kutuvusha km tutazipa support!