mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania.
Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza. Huyu mchambuzi maandazi aliyepewa jukumu la kuchambua soka TBC wakati wa kombe la dunia sijui anawezaje kubeba aibu hiyo. Cha kushangaza wachambuzi wenzake nao hawakugundua kama mwenzao amechapia.