mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Nani huyo?Huyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania.
Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza. Huyu mchambuzi maandazi aliyepewa jukumu la kuchambua soka TBC wakati wa kombe la dunia sijui anawezaje kubeba aibu hiyo. Cha kushangaza wachambuzi wenzake nao hawakugundua kama mwenzao amechapia.
Anaitwa EMI MartinezHuyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania.
Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza. Huyu mchambuzi maandazi aliyepewa jukumu la kuchambua soka TBC wakati wa kombe la dunia sijui anawezaje kubeba aibu hiyo. Cha kushangaza wachambuzi wenzake nao hawakugundua kama mwenzao amechapia.
Mimi nimeweka picha yake kwa hiyo siwezi kumchanganya na mwingine.Anaitwa EMI Martinez
Usimkosoe MTU kirahisi Kwa sababu hata wewe hukumtaja ukijua Kuna keeper Zaid ya mmoja.
Vilevile Aston villa wapo keepers zaidi ya mmoja. Kuna Robin na mwenzie Jed.
Ila utambue kuwa kosa kama hilo kwenye media inayotazamwa ulimwenguni kote ni aibu si kwake tu bali kwa Taifa zima!! Inaonesha hakuna vetting ya kutosha kwenye uchaguzi wa wachambuzi kwenye tukio kubwa kama kombe la dunia!!Sijui kama hili ni kosa la kuja kuanzishia uzi. Ni wazi amekosea tu kama ambavyo hata wewe ungeweza kukosea unless kama ana tabia ya kufanya makosa ya aina hii
Mimi nimeweka picha kabisa. Lakini kama unataka jina lake Emiliano Martinez. Je una hoja nyingine?Anaitwa EMI Martinez
Usimkosoe MTU kirahisi Kwa sababu hata wewe hukumtaja ukijua Kuna keeper Zaid ya mmoja.
Vilevile Aston villa wapo keepers zaidi ya mmoja. Kuna Robin na mwenzie Jed.
Mkuu unayakuza sana haya mambo. Yaani mtu kukosea jina la timu anayochezea mchezaji ndo iwe aibu ya Tanzania nzima kweli? Aibu kwa nani? Huyo mtangazaji ana hadhi gani mpaka awe aibu kwa taifa zima? Mbona ni kawaida kwa watangazaji tena wa vyombo vikubwa tu kufanya makosa ya aina hii na baadaye kuomba radhi na kusahihisha makosa yao?Ila utambue kuwa kosa kama hilo kwenye media inayotazamwa ulimwenguni kote ni aibu si kwake tu bali kwa Taifa zima!! Inaonesha hakuna vetting ya kutosha kwenye uchaguzi wa wachambuzi kwenye tukio kubwa kama kombe la dunia!!