Ni aidha Israel wana agency bora zaidi duniani au Iran ndio waliodorora kupitiliza

I M

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
434
Reaction score
767
Inasemakana Bomb lililomuua Ismael Haniyeh kiongozi wa Hamas lilipandikizwa nyumba ya wageni miezi miwili kabla! Nyumba inayoendeshwa na kulindwa na The Islamic Revolutionary Guards Corps.

CNN.jpg

Inawezekanaje bomb likae mda mrefu hivyo bila kugundulika na ilikua na ulinzi mkali?

Je, Ulinzi wa Iran na Ismael Haniyeh hawakukagua kabla kiongozi wao hajaingia? Au walikagua na hawakuona kitu!

Pia, Mossad walijuaje kua jamaa atakuja kulala hapo?

My take: Mossad ndio inaweza kua agency bora zaidi au Iran is iverrated, Iran na wapambe wake wote zero.
 
Iran wenyewe tu wanashida kwenye suala zima la Intelejensia inaonekana ndani kuna moles kibao wanauza game kila siku.

Moja ya mbinu ambayo USA na Israeli wanafanikiwa sana ni kupandikiza moles Kwa maadui zao ilihali upande wao inakuwa ngumu kulingana na culture barrier.

Shida kubwa ni njaa kuzidi uzalendo au mabaki ya jews na jamii zinazofanana ndani ya Iran.
 
Kama ni hivyo hawana haja ya kusema watalipa kisasi ni wazi wanatakiwa kujichunguza kwanza. La sivyo watapigwa kabla hata vita haijaanza.

Wameonesha weakness kubwa sana. Naanza kuamini inawezekana hata hile ajali ilipangwa.
 
Inasemakana Bomb lililomuua Ismael Haniyeh kiongozi wa Hamas lilipandikizwa nyumba ya wageni miezi miwili kabla! Nyumba unayoendeshwa na kulindwa na The Islamic Revolutionary Guards Corps.

View attachment 3058959

Inawezekanaje bomb likae mda mrefu hivyo bila kugundulika na ilikua na ulinzi mkali ?

Je, Ulinzi wa Iran na Ismael Haniyeh hawakukagua kabla kiongozi wao hajaingia? Au walikagua na hawakuona kitu!

Pia, Mossad walijuaje kua jamaa atakuja kulala hapo?

My take
Mossad ndio inaweza kua agency bora zaidi au Iran is iverrated, Iran na wapambe wake wote zero.
vyovyote iwavynd ni credit kwa Israel katika kuthibitisha ubabe mashariki ya kati
 
Kama ni hivyo hawana haja ya kusema watalipa kisasi ni wazi wanatakiwa kujichunguza kwanza. La sivyo watapigwa kabla hata vita haijaanza.

Wameonesha weakness kubwa sana. Naanza kuamini inawezekana hata hile ajali ilipangw✓✓
 
  • Thanks
Reactions: I M
Inasemakana Bomb lililomuua Ismael Haniyeh kiongozi wa Hamas lilipandikizwa nyumba ya wageni miezi miwili kabla! Nyumba inayoendeshwa na kulindwa na The Islamic Revolutionary Guards Corps.

View attachment 3058959

Inawezekanaje bomb likae mda mrefu hivyo bila kugundulika na ilikua na ulinzi mkali ?

Je, Ulinzi wa Iran na Ismael Haniyeh hawakukagua kabla kiongozi wao hajaingia? Au walikagua na hawakuona kitu!

Pia, Mossad walijuaje kua jamaa atakuja kulala hapo?

My take
Mossad ndio inaweza kua agency bora zaidi au Iran is iverrated, Iran na wapambe wake wote zero.
= waliodorora.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
  • Thanks
Reactions: I M
Inaonyesha jamaa alishapangiwa siku ya kufa na namna ya kufa miezi nyuma. Jana kwa hili wamethibitisha kwamba wao wako mbale ya mda.
hakika Arabs na wapambe wao kina Malaria 2 FaizaFoxy na wasaka bikra 72 wote wanakaza tu fuvu ila ndani wanajua Arabs na muslims kwa ujumla ni mabua hawana lolote kama mtu anapumzishwa kwenye ngome yao sasa wapi watakua salama.
 
Usikute hata anapolala saivi Ayatollah kuna kitu wanasubiri tu tarehe 😅
 
Tehee hee hatari sana watakua wanajipekua mpaka chupi wakihisi kuna kitu kimepandikizwa. Aise kwa tukio hili naamini kabisa ile helcopter ya rais ilishushwa na wayahudi ila KWA UFUNDI WA HALI YA JUU bila kuacha chembe ya alama.
 
Back
Top Bottom