I M
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 434
- 767
- Thread starter
- #21
Na jamaa hawasemi kitu wananyamaza tu. Hizo credit watakuja kuzichukua baadae baada ya kujihakikishia ushindi.Tehee hee hatari sana watakua wanajipekua mpaka chupi wakihisi kuna kitu kimepandikizwa. Aise kwa tukio hili naamini kabisa ile helcopter ya rais ilishushwa na wayahudi ila KWA UFUNDI WA HALI YA JUU bila kuacha chembe ya alama.