Kama ni hivyo hawana haja ya kusema watalipa kisasi ni wazi wanatakiwa kujichunguza kwanza. La sivyo watapigwa kabla hata vita haijaanza.Iran wenyewe tu wanashida kwenye suala zima la Intelejensia inaonekana ndani kuna moles kibao wanauza game kila siku.
Moja ya mbinu ambayo USA na Israeli wanafanikiwa sana ni kupandikiza moles Kwa maadui zao ilihali upande wao inakuwa ngumu kulingana na culture barrier.
Shida kubwa ni njaa kuzidi uzalendo au mabaki ya jews na jamii zinazofanana ndani ya Iran.
vyovyote iwavynd ni credit kwa Israel katika kuthibitisha ubabe mashariki ya katiInasemakana Bomb lililomuua Ismael Haniyeh kiongozi wa Hamas lilipandikizwa nyumba ya wageni miezi miwili kabla! Nyumba unayoendeshwa na kulindwa na The Islamic Revolutionary Guards Corps.
View attachment 3058959
Inawezekanaje bomb likae mda mrefu hivyo bila kugundulika na ilikua na ulinzi mkali ?
Je, Ulinzi wa Iran na Ismael Haniyeh hawakukagua kabla kiongozi wao hajaingia? Au walikagua na hawakuona kitu!
Pia, Mossad walijuaje kua jamaa atakuja kulala hapo?
My take
Mossad ndio inaweza kua agency bora zaidi au Iran is iverrated, Iran na wapambe wake wote zero.
Kama ni hivyo hawana haja ya kusema watalipa kisasi ni wazi wanatakiwa kujichunguza kwanza. La sivyo watapigwa kabla hata vita haijaanza.
Wameonesha weakness kubwa sana. Naanza kuamini inawezekana hata hile ajali ilipangw✓✓
= waliodorora.Inasemakana Bomb lililomuua Ismael Haniyeh kiongozi wa Hamas lilipandikizwa nyumba ya wageni miezi miwili kabla! Nyumba inayoendeshwa na kulindwa na The Islamic Revolutionary Guards Corps.
View attachment 3058959
Inawezekanaje bomb likae mda mrefu hivyo bila kugundulika na ilikua na ulinzi mkali ?
Je, Ulinzi wa Iran na Ismael Haniyeh hawakukagua kabla kiongozi wao hajaingia? Au walikagua na hawakuona kitu!
Pia, Mossad walijuaje kua jamaa atakuja kulala hapo?
My take
Mossad ndio inaweza kua agency bora zaidi au Iran is iverrated, Iran na wapambe wake wote zero.
hakika Arabs na wapambe wao kina Malaria 2 FaizaFoxy na wasaka bikra 72 wote wanakaza tu fuvu ila ndani wanajua Arabs na muslims kwa ujumla ni mabua hawana lolote kama mtu anapumzishwa kwenye ngome yao sasa wapi watakua salama.Inaonyesha jamaa alishapangiwa siku ya kufa na namna ya kufa miezi nyuma. Jana kwa hili wamethibitisha kwamba wao wako mbale ya mda.
Mzee kifimbo cheza,those days kwa gazeti la sani= waliodorora.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Tehee hee hatari sana watakua wanajipekua mpaka chupi wakihisi kuna kitu kimepandikizwa. Aise kwa tukio hili naamini kabisa ile helcopter ya rais ilishushwa na wayahudi ila KWA UFUNDI WA HALI YA JUU bila kuacha chembe ya alama.Usikute hata anapolala saivi Ayatollah kuna kitu wanasubiri tu tarehe 😅