Ni aina Gani ya biashara ambayo unaweza kuifanya maeneo ya tourist areas?

Ni aina Gani ya biashara ambayo unaweza kuifanya maeneo ya tourist areas?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Ni aina Gani ya biashara ambayo unaweza kuifanya maeneo ya tourist areas...ikawa kama huruma au services ambayo ipo kama mfumo wa utalii Yani something amazing

Huenda kimewai kufanyika somewhere au kipya
Nisaidieni kupata business idea ya hili wakui
 
Em liweke tena vzuri swali lako..
Yani ni hivi
Nataka wazo la biashara ambalo naweza kulifanya maeneo ya beach area hasa Zanzibar ambalo kitakuwa na aina ya utalii ndani yake kwa mfano

Pay by tip min massage
Kufanya massage kwa watalii ambao wanakuwa wamelala maeneo ya beach ila analipa akipenda inakuwa free analipa baada ya kupenda huduma
 
Kuchora Henna, kusuka, kuchora picha zao.
Biashara kama kuuza local food au kuuza vitu vya kazi za mikono kama mikoba, viatu n.k
 
Back
Top Bottom