Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Yani ni hiviEm liweke tena vzuri swali lako..
Kuchora Henna, kusuka, kuchora picha zao.Yani ni hivi
Nataka wazo la biashara ambalo naweza kulifanya maeneo ya beach area hasa Zanzibar ambalo kitakuwa na aina ya utalii ndani yake kwa mfano
Pay by tip min massage
Kufanya massage kwa watalii ambao wanakuwa wamelala maeneo ya beach ila analipa akipenda inakuwa free analipa baada ya kupenda huduma
Sawa mkuu ahsante sana nashukuru sanaKuchora Henna, kusuka, kuchora picha zao.
Biashara kama kuuza local food au kuuza vitu vya kazi za mikono kama mikoba, viatu n.k