in
ina ujazo gani au ukubwa gani frige yako?Ilinipa wakati mgumu sana kununua friji miezi kadhaa ilopita kwa ufupi kila mtu anamajibu ya anachokitumia.....
Baada ya kuhangaika nikaangukia kwa DELTA 1.2 unity kwa 24hrs sijutiii maamuzi ( matumizi yangu si makubwa pia)
JIRANI YANGU NA MTUMBA WAKE.
2 units per 1 hrs analalamika sanaaaaa sanaa.....
Kwa ufupi miluzi mingi humchanganya dog.... Fanya maamuzi binafsi sasa