Ilinipa wakati mgumu sana kununua friji miezi kadhaa ilopita kwa ufupi kila mtu anamajibu ya anachokitumia.....
Baada ya kuhangaika nikaangukia kwa DELTA 1.2 unity kwa 24hrs sijutiii maamuzi ( matumizi yangu si makubwa pia)
JIRANI YANGU NA MTUMBA WAKE.
2 units per 1 hrs analalamika sanaaaaa sanaa.....
Kwa ufupi miluzi mingi humchanganya dog.... Fanya maamuzi binafsi sasa