Ni aina Gani ya Laptop ambayo ni nzuri ?

Ni aina Gani ya Laptop ambayo ni nzuri ?

Nawashukuru sana wapendwa kwa advice zenu , ni kazi za field na ofisini zinazohitaji ku-install software's kibao
Naweza kufanya uchaguzi wangu sasa kupitia majibu yenu

Kama 3 weeks ago niliingia hapa mimi mwenyewe nikaomba msaada wa swali kama lako nadhani ukicheck unaweza kuona post yangu,nilipata majibu mazuri sana lakini at the mkuu MTAZAMAJI alinipa ushauri na more details na nilivyofanya research nikaona kwamba TOSHIBA ndio kila kitu na kweli nikanunua TOSHIBA basi sasa hivi naenjoy kabisa na ipo faster na hazisumbui kabisa....

So nakushauri zaidi chukua TOSHIBA...........
 
Nawashukuru sana wapendwa kwa advice zenu , ni kazi za field na ofisini zinazohitaji ku-install software’s kibao
Naweza kufanya uchaguzi wangu sasa kupitia majibu yenu
Asante kwa kuelewa, karibu tena. teh teh!
 
Nawashukuru sana wapendwa kwa advice zenu , ni kazi za field na ofisini zinazohitaji ku-install software’s kibao
Naweza kufanya uchaguzi wangu sasa kupitia majibu yenu

FL1 hiyo avatar ndo wewe
Mbona umezidi kuwa mrembo
 
Back
Top Bottom