Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

panda mikaratusi mkuu wiki moja ishakua
 
kwa walio wahi fika Kampala ile miti waliyootesha bara barani huwa wanaishave vizuri inanivutiaga sana sijui inaitwaje,mwenye kufika huko na kuiona atsaidie
 
Hadi chozi limenitoka!! Nilikuwa nakula haya matunda harafu nameza mbegu zake kimbembe wakati wa kujisaidia haja Kubwa. Duh hakuna maisha matamu ya uwindaji na uchungaji ng'ombe usukumani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii thread ni nzuri Sana .... ningependekeza uwaombe moderators waibadili tittle iwe - Wanaopenda Mimea, miti, maua na Garden .... Kwenye forum ya Habari mchanganyiko

Moderators please .... PainKiller Moderator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…