Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Nazungumzia mti mkuu, sio wewe 😀😀😀Mbagala sikai mkuu!
Labda mbele yake Kimanzichana au mbele zaidi Utete kwenye vijiji kule kuna upepo!
Mbagala ni too packed!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazungumzia mti mkuu, sio wewe 😀😀😀Mbagala sikai mkuu!
Labda mbele yake Kimanzichana au mbele zaidi Utete kwenye vijiji kule kuna upepo!
Mbagala ni too packed!
Nazungumzia mti mkuu, sio wewe 😀😀😀
Asisahau pia Mkomamanga, mbalungi, mlonge na angalau hata mti mmoja wa kienyeji,napendekeza awake Mlumdalunda au mtundwa.
Hii nitapata wapi Ndg, na inakubali kwa hali ya Dar.?
Huu mkuyu ndio Zakayo mtoza ushuru,alikuwa mfupiiiii alipanda ili amwone Yesu..😆nimecheka..eti mkuyu
Hauna faida,vitunda vyake vikipasuka hilo eneo hakai mtu vinanuka hatari tukiwa watoto tulikuwa tunatumia kuvunja mikusanyiko ukikipasua watu wanatawanyika vinanuka hatari.Kuna mti,Niliuona unaitwa ...Mvunja Genge ....Nani anafahamu ,faida zake Ni zipi!