Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
sawa mkuu kwahiyo hio hali ni sababu ya kytokula ipasavyo?, maana naanza kuunga doti ,kweli huwa ni mvivu wa kula hamalizi chakula.Hana ugonjwa, hakikisha awe anakula mlo kamili na ashibe vizuri
anakuwa anautafuna huju damu zikimtoka.anakulaje ulimi? mkuu samahani lakini.
hii pia nahisi, ila mpaka leo sijawahi kuelewa na tulishampeleka hospital ila sikuwahi kupewa majibu ya maana.Mmmh kama kifafa
kivipi maana haki hii ni toka 2020.Huo ni ukimwi
hali hii nitoka 2020Huo ni ukimwi