Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Wakuu habarini smaahani,
Ninaomba kwa anayeweza kufahamu mtu anayekuwa katika hali hii anakuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?
Nina Baba Mkubwa wangu yeye kuna hali humtokea yani unakuta amelala, mara gafla utakuta anakoloma halafu anakuwa anakakamaa huku akitapa tapa, halafu anakula ulimi na damu kutoka hadi mapovu, baadae kidgo hali inatulia then anakuwa sawa ila akilala ten kidogo hali inarudi vile vile, msaada wakuu🙏