Ni ajabu! Account za FB, Instagram na Twitter za Rais Donald Trump wa U.S.A zafungwa kwa muda usiojulikana


Na tayari mabunge yote mawili SENATE ya Nancy Pelosi na Congress ya McConnell wamekubali ku - invoke article 25 ya U.S constitution ili awe impeached ndani ya siku chache zijazo...

Na Donald Trump mwenyewe kwa sasa yuko completely under Isolation. Haruhusiwi kufanya maamuzi yoyote kuepuka damage zaidi..

He has been officially declared "mentally unfit" to carry out any government decisions and other administrative activities...

Urais wa US kwa sasa uko chini ya VP Mike Pence...
 
Alichotufanyia na anachoendelea kutufanyia Tundu Lissu na washirika wake akina Robert Amsterdam hakina tofauti na alichofanya Trump. Lazima na sisi tuwakatie mawasiliano ya kidigitali na nchi yetu. Nadhani uwezo huo wa ki electronic tunao kupitia TCCRA na wizara yetu inayoongozwa na Dr Faustine Ndungulile. Ye yote atakayerusha habari ya Tundu Lissu kwenye mtandao eg Yutube, facebook, instagram, twiter, whatsapp etc ashughulikiwe barabara. Hawa watu ni mentally unfit kama alivyo Trump. Hakuna mtu ambaye yuko mentaly sound akafanya kampeni ya matusi full time kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Haijawahi kutokea mahali kokote duniani isipokuwa 2020 nchini Tanzania.
 
Hivi huyo ndugu Rais aliyeshindwa, huko hakuna wakuu wa majeshi, Usalama wa Taifa na Tume ya Uchaguzi vikamsaidia kukafanyika kura za kubumba akashinda Boss wao akatawala Minne tena?
Wapo...

Uzuri wa wenzetu ni kuwa, hawaapi kumtumikia Rais-mtu, bali huapa kuitumikia nchi ya Marekani na watu wake chini ya mwongozo wa katiba yao inayowalinda kisawasawa...

Hapa viongozi wote huapa kumtumikia mtu mwenye cheo cha "Urais". Hili ndilo tatizo hasa la mfumo wetu wa utawala wa nchi yetu...!

Kwa hiyo, viongozi hawa (majaji, wakuu wa Majeshi, polisi, Spika wa bunge, Jaji Mkuu nk nk) wanakuwa wanamuogopa mtu katika kutekeleza wajibu wao wa siku kwa siku na kamwe hawaogopi sheria na katiba...

Ndiyo maana kiongozi wa kuteuliwa anaamua kuchapa viboko wananchi wake hadharani eti kwa kuwa wamekosa..!!
 
Duuuu such a shame jamani. Yaani nafikiri ana upungufu wa kufikiri kwa mapana. Sorry for his family.
 
Alitusakama sana kwenye korona na uchaguzi na matusi kibao Mungu anamjibu kwa vitendo
 
Hii "drama" ya marekani imetufundisha namna gani marekani ni nchi yenye taasisi imara kweli kweli.

Hakuna vijimungu mtu vilivyojichimbia ardhini.

Maana huwa nasikia tu kauli za walevi wa huko Tanganyika, mara oooh "mimi nimejichimbia kwenye kisiki". Mara sijui nimejichimbia kwenye matope?

Trump amedhibitiwa kweli kweli na taasisi za nchi ambazo ni madhubuti haswa!

Hawa wajinga wajinga wa Tanganyika wasiojua hata Kuzungumza Kiswahili wanakuja na vijihadithi vyao uchwara, ati ohhh nimejichimbia kwenye kisiki!!!!
 
Laana ya Kasem Suleiman imemuandama trump na bado, mpaka ata commit suicide [emoji6][emoji6][emoji6][emoji106]
 
Si ni nyinyi mliokuwa mnaisifia kuwa Marekani ni baba wa demokrasia?
Ni baba wa demokrasia,ndiyo maana Trump alipotaka kukatalia madarakani,mahakama ikawa ya kwanza kukataa,na usalama wa taifa.Ulishaona wapi mahakama na idara ya Usalama wa taifa ,kwetu Tanzania,wanapingana na rais????Muwe mnatumia ubongo hata kubisha.
 
Umeona wenzio lakini? Wamekinukisha hadi bungeni! Ila nyie mliambiwa andamaneni mkajificha uvunguni mwa vitanda kwa shemeji zenu, na hata aliyewambia andamaneni nae akakimbilia kwa mwanaume mwenzie! Aibu sana hii kwenu
Wale wakiandamana wanalindwa siyo huku ukiandamana unapigwa risasi ya Moto.
 
Una akili kubwa?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…