Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashindwa kwenye Sanduku la kura!Marekani imeufunza ulimwengu kuwa hata Rais aliyeko madarakani hawezi kuzipeleka anavyotaka taasisi huru kama Bunge na Mahakama na hata vyombo vya usalama!Ingekuwa Africa,mbona angeendela kutawala na akafuta uchaguzi kama Jecha!
Bora hata angefungua jamiiforums kama mimi
Alichotufanyia na anachoendelea kutufanyia Tundu Lissu na washirika wake akina Robert Amsterdam hakina tofauti na alichofanya Trump. Lazima na sisi tuwakatie mawasiliano ya kidigitali na nchi yetu. Nadhani uwezo huo wa ki electronic tunao kupitia TCCRA na wizara yetu inayoongozwa na Dr Faustine Ndungulile. Ye yote atakayerusha habari ya Tundu Lissu kwenye mtandao eg Yutube, facebook, instagram, twiter, whatsapp etc ashughulikiwe barabara. Hawa watu ni mentally unfit kama alivyo Trump. Hakuna mtu ambaye yuko mentaly sound akafanya kampeni ya matusi full time kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Haijawahi kutokea mahali kokote duniani isipokuwa 2020 nchini Tanzania.Dunia inapaswa kujifunza kutokana na tabia mbaya ilofanywa na Trump. Ni aibu kwa Taifa kubwa kama Marekani kuharibiwa taswira yake ya heshima ambayo imetengeneza kwa muda mrefu sana ije kuharibiwa na mtu mmoja kwa muda mfipi sana. Naamini sheria za Marekani zitafanyakazi juu ya uchokozi ulooneshwa na ndugu Trump
Uimara wa taasisi na zenye uhuru,sasa wewe hapa fungia gazeti la uhuru uone mziki wake!
Wapo...Hivi huyo ndugu Rais aliyeshindwa, huko hakuna wakuu wa majeshi, Usalama wa Taifa na Tume ya Uchaguzi vikamsaidia kukafanyika kura za kubumba akashinda Boss wao akatawala Minne tena?
Duuuu such a shame jamani. Yaani nafikiri ana upungufu wa kufikiri kwa mapana. Sorry for his family.Na tayari mabunge yote mawili SENATE ya Nancy Pelosi na Congress ya McConnell wamekubali ku - invoke article 25 ya U.S constitution ili awe impeached ndani ya siku chache zijazo...
Na Donald Trump mwenyewe kwa sasa yuko completely under Isolation. Haruhusiwi kufanya maamuzi yoyote kuepuka damage zaidi..
He has been officially declared "mentally unfit" to carry out any government decisions and other administrative activities...
Urais wa US kwa sasa uko chini ya VP Mike Pence...
Alitusakama sana kwenye korona na uchaguzi na matusi kibao Mungu anamjibu kwa vitendoView attachment 1671159
Sasa ni wazi kabisa Urais wa Donald Trump unaisha kwa aibu na fedheha kubwa...
Kitendo cha kuhamasisha wafuasi wake jana kuvamia jengo la Bunge la Congress (Capitol Hill) ili kuzuia bunge lisifanye kazi yake kumwidhinisha Rais Mteule Joe Biden (D) na makamu wake Kamala Harris ilikuwa ni ishara ya mwisho kuwa huyu mzee ni "mentally unfit" na hafai kukalia kiti cha Urais hata kwa siku 14 zilizobaki...
Sasa kwa sababu ya "uropokaji" wake bila ya kupima madhara ya kauli zake hizo, amefungiwa kutumia mitandao yote mikubwa ya kupashana habari duniani ikiwemo Facebook, Instagram na Twitter...
Inasemekana kwa sasa, yumo kifungoni cha kutopiga wala kupokea simu yoyote kwa yeyote...
Aidha, tayari utaratibu wa kumng'oa White House kabla hata ya tarehe 20/1/2021 siku ya kuapishwa Rais Joe Biden maarufu kama "impeachment" unaandaliwa kwa mujibu wa sheria za Marekani. Na hii ni dharura na itafanyika kwa udharura pia..
Tayari pia mawaziri wengi na maafisa wa taasisi nyeti za serikali kama FBI, CIA nk baadhi wameachia ngazi na wengine wanajiandaa kwa kuwa wamechukizwa na tabia ya Rais Trump isiyojali sheria na katiba ya nchi na hata kuhatarisha usalama wa RAIA na NCHI kwa ujumla..
Naye Makamu wa Rais, Bw. Mike Pence, amechukizwa sana na tabia ya Rais na katika hali ya kushangaza, akasema wazi kuwa, hakubaliani naye....
Na Republicans wenzake wamemtaka kuitisha baraza la mawaziri haraka iwezekanavyo ili kuweka njia ya kumwondoa Donald Trump madarakani kabla ya mambo kuharibika zaidi...
Kwa kifupi Wamerekani wamechukizwa sana na kilichotokea jana tendo lililochagizwa na kauli za Rais. Hawatamani hata awe Rais kwa kwa siku mbili zijazo...
For sure kabisa, ni wazi sasa, kuwa Donald Trump hamalizi wiki moja ijayo akiwa Rais wa Marekani...!!
Bado tuu hujaona demokrasia inavyofanya kazi??Si ni nyinyi mliokuwa mnaisifia kuwa Marekani ni baba wa demokrasia?
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli ingekuwa umbea kuwa Ginimbi alikuwa anafuga joka linaloleta pesa Uzi ungekuwa unateleza.
Ni baba wa demokrasia,ndiyo maana Trump alipotaka kukatalia madarakani,mahakama ikawa ya kwanza kukataa,na usalama wa taifa.Ulishaona wapi mahakama na idara ya Usalama wa taifa ,kwetu Tanzania,wanapingana na rais????Muwe mnatumia ubongo hata kubisha.Si ni nyinyi mliokuwa mnaisifia kuwa Marekani ni baba wa demokrasia?
Wale wakiandamana wanalindwa siyo huku ukiandamana unapigwa risasi ya Moto.Umeona wenzio lakini? Wamekinukisha hadi bungeni! Ila nyie mliambiwa andamaneni mkajificha uvunguni mwa vitanda kwa shemeji zenu, na hata aliyewambia andamaneni nae akakimbilia kwa mwanaume mwenzie! Aibu sana hii kwenu
Ni baba wa demokrasia kweli..ndio maana raisi anaweza kufungiwa akaunti na taasisi binafsi..ndio naana ameshindwa kwenye kura japo yupo madarakani .vyombo havikumsaidia..hao ndio AmericaSi ni nyinyi mliokuwa mnaisifia kuwa Marekani ni baba wa demokrasia?
Kwa iyo huku kwa jiwe kura zikiibiwa sio ajabuNi aibu Sana kwa Taifa kama marekani kura zinaibiwa, shameful.
Una akili kubwa?..Mwenye kuwaza hivyo ni mtu aliyeathirika na slavery mentality tu. Hayo yanayoendelea USA yangefanyika hapa Afrika wanaharakati na vibaraka wao kama wewe mngekuwa mnapiga kelele ile mbaya lakini kwa kuwa yametokea kwa mabwana zenu naona mnabadirisha gia angani lakini wenye akili kubwa tumeshajua kuwa Mungu anaendelea kuwanyoosha kama ambavyo anavyowanyoosha kwenye Covid-19.