Ni ajabu! Account za FB, Instagram na Twitter za Rais Donald Trump wa U.S.A zafungwa kwa muda usiojulikana

Kuvamiwa kwa Bunge na Watu wanne kuuwawa ndiyo demokrasi kumbe? Mbona wakiuwawa huku wahuni kama hao mnapiga kelele?
Hiyo siyo demokrasia, bali ni ujinga kwa sababu unafanywa na "a sitting president" mwenye njia zote za kificho kutekeleza agenda zake chafu...

Mbona John Pombe Magufuli na CCM yake wapo madarakani kwa kuwa "smart enough" kufanya ujinga wao wa wizi wa kura na kujishindisha kwa nguvu hata kuifanya dunia iamini kuwa ni mshindi kweli wakati ukweli ukiwa siyo?

Tatizo la Trump ni nini?

Ni hili: Hawezi kufanya ujinga huo USA labda aje kuwa Rais wa Tanzania....!!

Sina hakika kama umeelewa wewe..
 
Mkuu mbona umeenda mbali kwa Miseven, huku kwenu mkulu anavyoikwepa katiba je
 
"Kila kitu kina mikakati yake ilimradi watu wachache wameona mbele ya siku mbili zinazofuata kabla ya siku hizo kutimia”
 
Define "ajabu".

Ame violate terms of services, zinazokataza ku promote violence.

Akafungiwa.

Watu wanaangalia sheria na kanuni.

Hapo ajabu iko wapi?
 
Define "ajabu".

Ame violate terms of services, zinazokataza ku promote violence.

Akafungiwa.

Watu wanaangalia sheria na kanuni.

Hapo ajabu iko wapi?
" Ajabu" yangu ina maana ya "kumbe hata Rais ktk nchi za wenzetu haogopwi, inaangaliwa sheria na sheria hiyo kuchukua mkondo wake..."

Kwetu Afrika hii ni "ajabu" na watu wanashangaa kweli nikiwemo Mimi, maana Afrika Rais daima yuko juu ya sheria...!!
 
Huyu Mzee Trump anaondoka madarakani vibaya.
 
Tanzania is closely monitoring the situation in the United States and have expressed our concern. If matters escalate we will send a peacekeeping force to Washington to restore order and protect 'democracy'.
 
Tanzania is closely monitoring the situation in the United States and have expressed our concern. If matters escalate we will send a peacekeeping force to Washington to restore order and protect 'democracy'.
Hahaaah,
Yote nlipobaki hoi Ni to restore democracy

Umenifurahisha
 
Unatakiwa ushangae wanaoweka sheria halafu hawaifuati.

Sio wanaoweka sheria na kuifuata.
 
Mkuu acha kukopi na kupesti.

Ulisikia wapi kahamasisha??

Hivi unajuaga hata kinachoongelewa kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…