May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Mashabiki wa Mpira wa Tanzania ni wa ajabu sana, ni kama kundi la Watu tusiojua haswa tunataka nini.
Leo hii mnamdhihaki Mtu aliyefunga magoli mengi kuliko Wachezaji wote wa ligi msimu uliopita akipitwa na Mchezaji mmoja tena kwa kuzidiwa goli moja tu?.
Kama yeye analaumiwa ni nini mnawaambia wale walioshindwa kabisa kufunga walau magoli matatu?.
Hivi hali ingekuwaje kama angemaliza msimu akiwa na magoli mawili tu?.
Hivi kati ya Wachezaji walioshindwa kazi unaweza kumuhesabu Mchezaji aliyewashinda wenzake kwa kufunga?.
Tuwe na tabia ya kuwapa Watu moyo badala ya kung'angania kuwalaumu tu.
Na kama inaonekana yeye anakosa sana magoli kwa nini hao wengine wasipate nafasi hizohizo kama anazopata yeye?.