Ni ajabu huyo anayelaumiwa ndiye alikuwa Mfungaji bora namba mbili msimu uliopita

Ni ajabu huyo anayelaumiwa ndiye alikuwa Mfungaji bora namba mbili msimu uliopita

Hawa wanaomtetea mugalu n utopolo ingekuwa mugalu Yuko yanga asingekuwa hata kwenye mazoez mashabik wa uto wangemtimua
 
anapata nafas yeye kwa sababu anatengenezewa na wenzake mwisho mpra unamkuta yeye na si rahisi sana timu zikafanana kila ktu mfano pasi kona offiside shot on taget au off taget kuna moja inazd inategemea na wachezaji na mfumo na ubora wa mchezaj mmoja mmoja ,kwa tanzania simba karibu mechi nying ikicheza
Wao wanakua wana uwezo wa kutengeneza nafas nying kuliko wengine ata ukiangalia ligi iliyopita wamefunga magoli mengi ,wametengeneza nafas nyng ,ukiulza kwann wachezaji wa timu nyngne hawakufunga magoli kuzd 15 ,je hao wachezaj wengine timu zao zina watengenezaj wazur kama waliokua simba ,kuna timu alitoa pasi za magol bora ana asist nne au sita wakat simba kuna wachezaj wawil ambao kila mmoja anaasist zaid ya 10 ,mugalu tumpe sio na wachezaji kutoka timu nyngne tumpime kwa timu yake je nafas anazopata na magol anayofunga ni sawa na je kila cku utacheza ukitegemea upate nafas tano au zaid ndio ufunge na pia kwan kuna ubaya gan kufunga magoli zaid ya anayofunga kwa sababu nafas si anapata
Hao watengenzaji Mugaku asipokuwepo wanatengenza mangapi?.

Mbona asipokuwepo tusione hizo mvua za magoli?.
 
Kwenye results game huwezi ukategemea past performance zikuinue katika present..., ni either una-perform au lah...

It's the nature of the beast..., no matter how unfair it may seem... na mbaya zaidi past performance inaweza ikawa disadvantage sababu inabidi ku-raise the bar au unaonekana umekwisha...
 
Kafunga mechi nyepesi

1) Simba vs Biashara
4-0
Mugalu=1

2)Simba vs Gwambina
3-0
Mugalu=1

3)JKT TZ vs Simba
0-4
Mugalu=1

4)Simba vs Ihefu
4-0
Mugalu=1

5)Simba vs JKT
3-0
Mugalu=1

6)Kagera vs Simba
0-2
Mugalu=1

7)Simba vs Dodoma
3-1
Mugalu=2

8) Namungo vs Simba
1-3
Mugalu=1

9) Ruvu vs Simba
0-3
Mugalu=1

10)KMC vs Simba
0-2
Mugalu=2

11)Simba vs Coastal
2-0
Mugalu=1

12)Simba vs Namungo
4-0
Mugalu=1

Jumla magoli 15
Mechi nyepesi ni zipi hizo ndugu.Kila timu inakiandaa vilivyo mengine huwa ni matokeo tu ya uwanjani.
 
Back
Top Bottom