Ni ajabu huyo anayelaumiwa ndiye alikuwa Mfungaji bora namba mbili msimu uliopita

Hawa wanaomtetea mugalu n utopolo ingekuwa mugalu Yuko yanga asingekuwa hata kwenye mazoez mashabik wa uto wangemtimua
 
Hao watengenzaji Mugaku asipokuwepo wanatengenza mangapi?.

Mbona asipokuwepo tusione hizo mvua za magoli?.
 
Kwenye results game huwezi ukategemea past performance zikuinue katika present..., ni either una-perform au lah...

It's the nature of the beast..., no matter how unfair it may seem... na mbaya zaidi past performance inaweza ikawa disadvantage sababu inabidi ku-raise the bar au unaonekana umekwisha...
 
Mechi nyepesi ni zipi hizo ndugu.Kila timu inakiandaa vilivyo mengine huwa ni matokeo tu ya uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…