Ni ajabu kweli yule reporter kamuuliza Mpina kwanini ametoka CCM

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Sasa Mpina angefanya nini katika hali kama Ile?

Pale Samia Suluhu ndio alionyesha udikteta wake.

Bila sababu jina la Mpina limeondolewa,watu jimboni kwake imeonekana kama vile hawakupendezewa .

It was unprovoked and uncalled for. Imeonyesha jinsi Samia alivyolewa madaraka.

Sasa huyu mtu katika career yake amekuwa anaongea sana kuhusu matumizi sahihi ya fedha za umma. Amekuwa anapinga Rais kukopa hela kisirisiri na kuzitumia kisirisiri bila kulishirikisha Bunge.

Haiwezekani maamuzi makubwa yanafanyika bila kulishirikisha Bunge,kwamba a small coterie of people decides something halafu wanasema wengine tutawaeleza baadaye.

Mpina ni ascetic. Hataki hela za Serikali zitumike vibaya.
 
Usenge tuu huo. Toka lini mpina akawa mkweli?
 
Back
Top Bottom