Ni ajabu ya kiwango cha lami serikali kupiga marufuku media za ngono halafu ikaruhusu bongo movie iendelee

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,118
Reaction score
4,238
Yaani bongo muvi ni ufuska mtupu umejaa tu pale hakuna kitu mule

Ni ajabu ya kiwango cha lami serikali kupiga marufuku media za ngono halafu ikaruhusu bongo movie iendelee
 
Bongo muvi ni chimbo la kuopoa vipozeo vya mawaziri wawapo Dodoma kutekeleza majukumu mazito ya kitaifa.
Kile ni kiwanda bwashee. Uzalishaji wake ni toshelevu. Hakipaswi kufungwa.
Halafu pale ni matumizi ya kipaji yaani sanaa na uigizaji.
Haihitajiki vyeti vya ithibati kufanya maigizo na uburudishaji.
 
Umelazimishwa kuangalia? Acheni kudeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…