Ni ajali tu au Kuna cha ziada

Ni ajali tu au Kuna cha ziada

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Sijafanya utafiti rasmi, sina takwimu sahihi lakini , Tangu mwaka huu uanze Kuna ajali nyingi sana ila ndodo ndogo, kiasi Cha kuleta hofu kwa upande wangu.

Kwa experience yangu barabarani ya kufanya biashara ya gari na kutumia barabara ,huu mwaka Pana kama ajali sana , na sielewi shida ni nini , uzembe, makafara, ama vyombo vya moto vimeongezeka sana
 
Sasa mbona umetuacha njiani, ulitakiwa labda uorodheshe baadhi unazozifahamu ili members waweze kujaribu kuangalia kwa mitazamo yao ili kujua kama ni ajali tu au mambo mengine!
 
Back
Top Bottom