Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Midomo Mali Yao,wangekuwa wanalipia TRA,wangechuja ya kuongea.Kwa nini pale tu Lissu alipotangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndipo anapoonekana anataka/anakipasua chama?
Yeye ni makamu Mwenyekiti, nani alimchagua kuwa makamu Mwenyekiti ili aje kukipasua chama?
Watu waache unafiki.
Hii nguvu na muda mnaotumia kuongelea uchaguzi wa chadema..mngetumia kuiambia serikali iwarudishe Soka, Mbise, Chaula na wengine waliotekwa au kuiambia serikali ieleze uchunguzi wa mauaji ya Mzee Kibao ymefikia wapi..kungekuwa na tija sana! na hapo ndio mlicho nacho kichwani mwenu kinaonekana mko upande gani na mna lengo gani..!Kwa nini pale tu Lissu alipotangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndipo anapoonekana anataka/anakipasua chama?
Yeye ni makamu Mwenyekiti, nani alimchagua kuwa makamu Mwenyekiti ili aje kukipasua chama?
Watu waache unafiki.