Ni akili tu Mtu Wangu

Ni akili tu Mtu Wangu

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
Akili mtu wangu ebu mtag rafiki mwenye timing kama hizi🤣🤣
1712245921830.jpg
hapo kaskilizia
1712245929761.jpg
mara kashasogea mdogomdogo
1712245936012.jpg
huyo nae anajisevia msosi, ni akili tu mtu wangu
 
Akili mtu wangu ebu mtag rafiki mwenye timing kama hizi🤣🤣View attachment 2953856hapo kaskilizia View attachment 2953857mara kashasogea mdogomdogoView attachment 2953861huyo nae anajisevia msosi, ni akili tu mtu wangu
Umenikumbusha mbali sana mwana kitambo enzi za kitaa nilikuwa na mwanangu mmoja tulimpaga jina Mzee wa kunusa huyo alikuwa noma yan popote penye mpunga uwe wa harusi au msiba lazima atajua akisha jua bas anatushitua wana kisha tunaibuka mambo ya uswahilini hayo ushuani uwezi kuta hayo mambo
 
Back
Top Bottom