Umenikumbusha mbali sana mwana kitambo enzi za kitaa nilikuwa na mwanangu mmoja tulimpaga jina Mzee wa kunusa huyo alikuwa noma yan popote penye mpunga uwe wa harusi au msiba lazima atajua akisha jua bas anatushitua wana kisha tunaibuka mambo ya uswahilini hayo ushuani uwezi kuta hayo mambo