Ni Ally Kamwe na Privadinho

Hatimae privaldinyo amepata alichokuwa anakitafuta mda mrefu
 
Sio hao tu , na C.E.O Mzee....!
Huyu C.E.O Mzee anazo Sifa Zingine Ila Nawaachia Wengine Waziongeze.... !

Utopolo mna Mambo..! Kisa cha Kutuletea Wastaafu..? Kashapigwa Na Maisha huko ...kwenu ndo aje Kupata Pensheni?
 
Uzuri wazee wenzake wapo onyango+boko
 
Sio hao tu , na C.E.O Mzee....!
Huyu C.E.O Mzee anazo Sifa Zingine Ila Nawaachia Wengine Waziongeze.... !

Utopolo mna Mambo..! Kisa cha Kutuletea Wastaafu..? Kashapigwa Na Maisha huko ...kwenu ndo aje Kupata Pensheni?
[emoji23][emoji23][emoji23] mungu akiamua kukuinua anakuinua tu mzee haijalishi una miaka mingapi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hongera.angalau sasa kuwa msemaji mwenye kujitambua.
Klabu ni taasisi haiwezi kuwa na mwajiriwa ambae anagombana na kila mtu.
 
Sio hao tu , na C.E.O Mzee....!
Huyu C.E.O Mzee anazo Sifa Zingine Ila Nawaachia Wengine Waziongeze.... !

Utopolo mna Mambo..! Kisa cha Kutuletea Wastaafu..? Kashapigwa Na Maisha huko ...kwenu ndo aje Kupata Pensheni?
Mbumbumbu mnashida sana yaani akili zenu zipo matakoni kabisa ndy nini umeandika hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…