Ni ama Bashiru Ally amepotoka au hajui CCM kiundani

Hata TL atarudi CCM

Tumia macho ya kiroho sio ya kibinadamu[emoji3]

Tungejua kama EL pandikizi tusinge deki barabara....

Unamsema EL pandikizi lenu CCM??? Sikiliza wewe mataga!! Hii ni 2020! Jiandaeni tu kukabidhi nchi kwa amani kwa Tundu Antiphas Lissu!
 
yes sir.....
inakuumiza?
Tulia wewe mbuzi Rais wako from now ni huyu hapa
IMG_20200906_212246.jpeg
 
Kwa wale ambao tumebahatika kuijua CCM kwa undani, Makali ya Magufuli yataisha mara tu baada ya Kuapishwa kuwa rais 2020/2026.

Nimemuona Bashiru Twitter akiwaonya Nape na Kigwangala kwa Mambo Binafsi,

Nahisi Bashiru ama ni mshamba mmoja ambaye hajui matumizi ya twitter ama anajitoa ufahamu

Katibu Mkuu kasahau kwamba Mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu (kipindi Cha kwanza Cha Urais kinapoisha)tunapoenda kipindi Cha Pili basi uchaguzi huo unapoisha ,
Wanasiasa huanza MARA MOJA kupanga safu ya Urais wa Awamu unayofuata.Hapo tayari na 'kambi/Mtandao wa fulani' zimeshaanza kuandaliwa kichinichini; ndo maana watu Kama kina Nape wanaanza kujipitisha huku&Kule kutengeneza 'upepo' wa fulani' ama kujitengenezea mazingira wao wenyewe kwa Ajili ya Urais wa Awamu ya6!

Anachemka akudhan atawapangia kina Nape Nnauye cha Kufanya
na kuwalazimisha kutoendelea na kampeni kwa ratiba zao, eti wanapaswa wasimame na rais,

Britannica
Yes, Magustinho atapuuziliwa mbali after October, atakuwa ile wazungu Wanasema lame president, na hivi mshamba!
 
Ivi wewe Magufuli, inamaana watu wa Bunda wao hawachangii chochote kwa pato la Taifa??

Nakama wanachangia kwanini unawatenga sababu ni wanaongozwa na Upinzani??

Yaan Tunaongozwa na Jitu lina roho mbaya ,chuki na visasi ndo vimelijaa.
🤔🤔🤔
🚶🚶🚶🏃🏃🏃
 
Mark my words! Magufuli is one term president. Na mwisho wake ni October 28. Baada ya matokeo atakuwa kwenye hali ya kutakiwa kukabidhi madaraka!
Mkuu wewe ni nabii? Kama siyo nini kinakupa assurance kiasi hiki?

Ni kweli Lisu anakubalika lkn vipi kuhusu NEC na dola?
Screenshot_20200905-200423_1.jpg
 
Kwa wale ambao tumebahatika kuijua CCM kwa undani, Makali ya Magufuli yataisha mara tu baada ya Kuapishwa kuwa rais 2020/2026.

Nimemuona Bashiru Twitter akiwaonya Nape na Kigwangala kwa Mambo Binafsi,

Nahisi Bashiru ama ni mshamba mmoja ambaye hajui matumizi ya twitter ama anajitoa ufahamu

Katibu Mkuu kasahau kwamba Mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu (kipindi Cha kwanza Cha Urais kinapoisha)tunapoenda kipindi Cha Pili basi uchaguzi huo unapoisha ,
Wanasiasa huanza MARA MOJA kupanga safu ya Urais wa Awamu unayofuata.Hapo tayari na 'kambi/Mtandao wa fulani' zimeshaanza kuandaliwa kichinichini; ndo maana watu Kama kina Nape wanaanza kujipitisha huku&Kule kutengeneza 'upepo' wa fulani' ama kujitengenezea mazingira wao wenyewe kwa Ajili ya Urais wa Awamu ya6!

Anachemka akudhan atawapangia kina Nape Nnauye cha Kufanya
na kuwalazimisha kutoendelea na kampeni kwa ratiba zao, eti wanapaswa wasimame na rais,

Britannica
When you are the incumbent seeking re-election you don’t run on new promises, but run on your past record” Politics 121.

Meko has nothing to present so far.
 
Kwa wale ambao tumebahatika kuijua CCM kwa undani, Makali ya Magufuli yataisha mara tu baada ya Kuapishwa kuwa rais 2020/2026.

Nimemuona Bashiru Twitter akiwaonya Nape na Kigwangala kwa Mambo Binafsi,

Nahisi Bashiru ama ni mshamba mmoja ambaye hajui matumizi ya twitter ama anajitoa ufahamu

Katibu Mkuu kasahau kwamba Mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu (kipindi Cha kwanza Cha Urais kinapoisha)tunapoenda kipindi Cha Pili basi uchaguzi huo unapoisha ,
Wanasiasa huanza MARA MOJA kupanga safu ya Urais wa Awamu unayofuata.Hapo tayari na 'kambi/Mtandao wa fulani' zimeshaanza kuandaliwa kichinichini; ndo maana watu Kama kina Nape wanaanza kujipitisha huku&Kule kutengeneza 'upepo' wa fulani' ama kujitengenezea mazingira wao wenyewe kwa Ajili ya Urais wa Awamu ya6!

Anachemka akudhan atawapangia kina Nape Nnauye cha Kufanya
na kuwalazimisha kutoendelea na kampeni kwa ratiba zao, eti wanapaswa wasimame na rais,

Britannica
Mkuu britanicca umechemka, raisi ajaye Ni tundu
 
Ninashangaa sana political scientist mzima anaposhindwa kubaini kuwa Kigwangala alikuwa anatafuta kura za wanna Simba! 🤔
 
Back
Top Bottom