Ni ama Bashiru Ally amepotoka au hajui CCM kiundani

CCM inarudi kwa wenyewe wahamiaji haramu basi tena
Nimemuona Comrade Humphrey Polepole! Hakika alijawa na huzuni tele moyoni. Kuna muda kama nilimuona rafiki yangu mama D vile! 🙄 Naye alikuwa na huzuni tele usoni.

Poleni sana kwa msiba huu mzito wa mpendwa wetu.
 
Tate Mkuu ni nini lakini😥😥😥😥😥
Si nilishakuomba uniache japo siku hizi 21 tuu💔🇹🇿😭
 
Back
Top Bottom