Ni application gani nzuri kwa kufanya phone trucking?

Ni application gani nzuri kwa kufanya phone trucking?

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Kuna namba ya simu nataka kuitrack nijue yuko wapi ila nashidwa kila app ninayo download playstore inasumbua.

Hebu nisaidie katika hili mnaofahamu ku track simu.
 
Application zipo sema mpaka awashe location(GPS) asipo washa utaona chenga tu na hiyo application lazma iwekwe kwenye simu ya mlengwa
Sasa mkuu mfano mtu anamiliki simu ya TOCHI na sio SMARTPHONE ina maaana

Huwezi kutrack number kufahamu iko wapi location yake
 
Sasa mkuu mfano mtu anamiliki simu ya TOCHI na sio SMARTPHONE ina maaana

Huwezi kutrack number kufahamu iko wapi location yake
Hapo sidhani kama itawezekana labda kama kuna wataalamu wa kutrack nokia za tochi waje hapa kutujuza
 
Back
Top Bottom