GTA
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 878
- 651
Hiyo inawezekana, nazani unajua, ukiwa na nokia tochi ukipita mtaa, flani inasoma kuwa hupo sehemu flani then uki move inasoma tena new location via communication tower. Hivyo ku trace inawezakana. Sema kupata access ya communication service provider (CSP) ndo shida. ila kama CSP ikitakakuku track inawezekana.Hapo sidhani kama itawezekana labda kama kuna wataalamu wa kutrack nokia za tochi waje hapa kutujuza