Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ipo playstore auTuamia android device manager
Android device manager haina uwezo wa kutracj phone number ya mtuTuamia android device manager
Phone trucking yaani app unayotumia kutizama simu ya mtu yuko wapiPhone trucking ndiyo nini?
wasiliana na tcra wakusaidie
kwani hiyo simu ni ya nani?TCRA HAPANA NATAKA KUICHEKI
Ya mtu mwingine nataka kujua yupo wapikwani hiyo simu ni ya nani?
Application zipo sema mpaka awashe location(GPS) asipo washa utaona chenga tu na hiyo application lazma iwekwe kwenye simu ya mlengwaYa mtu mwingine nataka kujua yupo wapi
Sasa mkuu mfano mtu anamiliki simu ya TOCHI na sio SMARTPHONE ina maaanaApplication zipo sema mpaka awashe location(GPS) asipo washa utaona chenga tu na hiyo application lazma iwekwe kwenye simu ya mlengwa
Hapo sidhani kama itawezekana labda kama kuna wataalamu wa kutrack nokia za tochi waje hapa kutujuzaSasa mkuu mfano mtu anamiliki simu ya TOCHI na sio SMARTPHONE ina maaana
Huwezi kutrack number kufahamu iko wapi location yake