HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,554
zakupakua mkuu achana na in-built appsGoogle Chrome, Selenium Music Player, Microsoft Word, Gmail. Hizo zikikosekana kwenye simu yangu basi na simu inakuwa haina maana.
Selenium, Ms- Wordzakupakua mkuu achana na in-built apps
selenium ina kazi gani?Selenium, Ms- Word
Music Playersele
selenium ina kazi gani?
Mzee Deezer una playlist uliyoitengeneza?1. Deezer
2. Spark Mail
3. Twitter
4. Microsoft ToDo
5. MS Office
6. OneNote
7. Reddit
8. MPesa and My vodacom apps
9. My Airtel
10. DStV Now
Bila hizi simu kwangu ni kopo la kutupa
snaptubeapp.comWalau naomba mwenye kujua app za kudownload nyimbo au kitu chochote YouTube. Nilikuwa na
1. Tube mate
2.VidMate
3. Videoder
Saivi zinagoma zinaniambia Hauwezi ku download chochote youtube
Mm natupa kila kitu kwenye favoritesMzee Deezer una playlist uliyoitengeneza?
deezer ni ya kulipia ama bure?Mzee Deezer una playlist uliyoitengeneza?
Ya kulipia..usipolipia kuna features utazikosa na pia kuna kuwa na ads hadi kerodeezer ni ya kulipia ama bure?
Mpaka sasa hivi JF imekupatia papuchi ngapi.Niambie itakuwa ni siri yangu mimi na wewe tu.
mkuu, hii inatumikaje???snaptubeapp.com