Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Hizo games
Screenshot_20210128-230829_Game%20Launcher.jpg
 
Walau naomba mwenye kujua app za kudownload nyimbo au kitu chochote YouTube. Nilikuwa na
1. Tube mate
2.VidMate
3. Videoder
Saivi zinagoma zinaniambia Hauwezi ku download chochote youtube
Hata kwangu ni majanga tu
 
kuna siku ata mimi nlijaribu tubemate ila ilikataa saiv restrictions kubwa sana kwa simu za android , maana haohao ndo wanamiliki na youtube kwa hyo wanahakikisha apps zinazoenda kinyume na wao hazipatikani playstore wala kufanya kazi
Vidmate inapiga kazi mkuu
 
Walau naomba mwenye kujua app za kudownload nyimbo au kitu chochote YouTube. Nilikuwa na
1. Tube mate
2.VidMate
3. Videoder
Saivi zinagoma zinaniambia Hauwezi ku download chochote youtube
Fungua browser download apk ya snaptube then install
 
uTorrent
Mx player
Phonex Browser
Videoder
Shazam
ForceLTE
DriveSync

Zingine Zinakuwepogi (Default) from Google (Android)
 
Walau naomba mwenye kujua app za kudownload nyimbo au kitu chochote YouTube. Nilikuwa na
1. Tube mate
2.VidMate
3. Videoder
Saivi zinagoma zinaniambia Hauwezi ku download chochote youtube
Videoder babalao mkuu unaikosaje? Nenda google download, chagua maana zipo nyingi.
Km unatumia Samsung achana na zile za Galaxy store nyingi miyeyusho.
 
✓Deezer(music streaming)

✓Google Chrome

✓WPS(Kufungua documents)

✓JF
Siku hizi WPS imekuwa utopolo sn ina ads nyingi na ukitaka kuiweka doc kwenye pdf format inataka ulipe kwnz, cjui labda mm nilikosea site ya ku download WPS.
 
Back
Top Bottom