Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Lazima uingize details za card ya benki ambapo watakata malipo ya kila mwezi.

Sasa kama card yako sio ya benki ya nchi walizoruhusu spotify huwezi kuwa na account kwao.

Na huwezi kufanya registration bila wao kuverify kwanza card yako ya benki. Ikikubali tu, wanakupa go ahead ya kufanya registration.

Ikikataa ndo basi tena.
mkuu me spotify imenitesa sana, nlikua natumia ya kuibia ibia tu hiyo cracked apk lakini trial period ikiisha huwez fanya chochote kwa hapa tz
 
Shazam
Audiomack
Microsoft To do
Twitter
Facebook
Instagram
Videoder
ZabuniApp
Whatsapp
YouTube
Quora
Signal
Telegram
Mpesa & my vodacom
My airtel
Schematic Card viewer
FotMob
LinkedIn
Dalmax checkers
CamScanner
 
Mzee Deezer una playlist uliyoitengeneza?
Reddit unatumiaje mimi nimeshindwa jinsi ya kujaza payment system .naomba Maelezo tafadhari hapo?niweze kuifungua jinsi navyoweza kujaza payment system.
 
Walau naomba mwenye kujua app za kudownload nyimbo au kitu chochote YouTube. Nilikuwa na
1. Tube mate
2.VidMate
3. Videoder
Saivi zinagoma zinaniambia Hauwezi ku download chochote youtube
Hata mimi inanikatalia izo Apps sijui wanataka tulipie
 
Reddit unatumiaje mimi nimeshindwa jinsi ya kujaza payment system .naomba Maelezo tafadhari hapo?niweze kuifungua jinsi navyoweza kujaza payment system.
Reddit ni social media platform kma JF hvi. Kuna kua na majukwaa ambayo watu wanashare mambo yao. Haihusiani na mambo ya payment.

Screenshot_20210130-105941.jpg
 
Back
Top Bottom