Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Ni uhakika hizo?

Au magumashi tu?
wanakuwa wanapromise muda mrefu mfano miaka 2 kwa 10k ama rahisi, unaweza tumia miaka miwili kweli, ama ukatumia mwezi ikakata.

cha muhimu angalia seller mwenye reputation nzuri.
 
nlijua tu [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] me sjawah pata apk ya spotify inadownload, shida details za kufungua hiyo premium account
Zipo zinakua na accounts details za watu ila siziamini kabisa usalama wake. Zipo kule darkweb
 
Apps muhimu kbs kuwa nazo kwenye simu yangu ni hizi:-

1. Evernote
2. Lastpass
3. Utorrent
4. Any.do
5. Quora
6. Dropbox
7. Imdb
8. Oxford dictionary
9. Snaptube
10. Movie hd
Etc.
 
Vigezo gani vinahitajika kuwa na account ya bank ya swiss, au wew uliwezaje kufungua account huko
Kuna mtu alinisaidia kufungua yeye ni raia wa huko.

Unahitaji passport, minimum deposit CHF 25'000 na documents unapitisha kwa attorney wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…