Spectophotometer
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 295
- 468
Kufanya miamala kwa haraka tofauti na USSD(*150*00#)Kwani hiyo mpesa app inafanya kazi gani hasa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya miamala kwa haraka tofauti na USSD(*150*00#)Kwani hiyo mpesa app inafanya kazi gani hasa??
Ok nlifikiri inafanya manunuzi ya bidhaa mtandaoni pia.Kufanya miamala kwa haraka tofauti na USSD(*150*00#)
Mkuu rahisi tu nenda google andika spotify moded apk halaf tumia linck ya happymodkaaa naipatajae hii, yaani bila kulipia?? hebu nipe link naipataje hii
Ni lazima uwe unatumia data ya hyo line ya voda. Kma simu yako ni line mbili set kwanza default sim for sms and call kuwa hyo line ya voda ndio umalizie set up. Ukishaset unaweza rudisha settings zako kma zamaniHiyo m-pesa & my vodacom niaje tena, mimi nina app ya m-pesa tz nimeshindwa ku-log in miezi sasa.
Ndio.Inaweza kuweka mobile view kama ifanyavyo wps!?
👍Mkuu rahisi tu nenda google andika spotify moded apk halaf tumia linck ya happymod
Kma menu ya m pesa ilivyo ila hii inatumia internet na iko fast zaid. Pia unakuonesha salio lako bila kukatwa hela na inakuonesha makato ya muamala unaotaka kufanya. Kwahyo unakua unajua kma hela uliyokuwa nayo itatosha au kama haitoshi unarudi back tu na kubadilisha amount. Hakuna mambo ya USSD timeout wala yale mambo ya Connection Problem. Na My Vodacom pia inakupa detail za mabando yako(MB, dkk, sms), kujiunga vifurushi na mambo mengine yanayohusu line yakoKwani hiyo mpesa app inafanya kazi gani hasa??
Wengi wanatumia hzo app kwaajili ya kudownload tu. Kma ni kuangalia tu Youtube videos si bora utumia Youtube app yenyewe tu?Mfano angalia hapo inavyotaga. Hata kusearch kitu hailetiView attachment 1690706View attachment 1690707
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Inarahisisha kufikia menu mbalimbali za m-pesaKwani hiyo mpesa app inafanya kazi gani hasa??
Sina utaalamu sana kwenye hili mkuu,Truecaller inarecord simu kwenye samsung A series? Napata shida kupata app/apk or whaever ya kurecord simu kwenye A series. Naona kama wame restrict. Msaada tafadhali...
Inahitaji internet/Bando kuitumia?Kufanya miamala kwa haraka tofauti na USSD(*150*00#)
Now nimefanikiwa mkuu, asante sana....Ni lazima uwe unatumia data ya hyo line ya voda. Kma simu yako ni line mbili set kwanza default sim for sms and call kuwa hyo line ya voda ndio umalizie set up. Ukishaset unaweza rudisha settings zako kma zamani
Ukifanikiwa nistue bosikaaa naipatajae hii, yaani bila kulipia?? hebu nipe link naipataje hii
Ndio mkuu. Inatumia bando.Inahitaji internet/Bando kuitumia?
Ukifanikiwa nistue bosi
www.happymod.com
Google "Videorder, Video Downloader App, APK" halafu u download. Kumbuka ni APK sio Playstore.Mfano angalia hapo inavyotaga. Hata kusearch kitu hailetiView attachment 1690706View attachment 1690707
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ok sawaNdio mkuu. Inatumia bando.
Ina option ya ku download?Spotify: Music and Podcasts Mod Apk 19.10.80.1 [Unlocked] free download: 151.85 MB
- Download Music and Listen Offline- Support Custom Playlist Download (Beta)- Unlocked Previous & Next Track- Unlocked Seeking FWD/BWD- Unlocked/Able to Select Any Songs & Albums- Unlocked Repeat Once/All- Unlocked Shuffle- Disabled Force Shuffle- Removed All ADS- Original package signature changed.www.happymod.com
alafu click create download link
Inahitaji internet ila inafanya kazi hata kama huna bundleInahitaji internet/Bando kuitumia?
Sawa mkuuInahitaji internet ila inafanya kazi hata kama huna bundle