Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Hiyo m-pesa & my vodacom niaje tena, mimi nina app ya m-pesa tz nimeshindwa ku-log in miezi sasa.
Ni lazima uwe unatumia data ya hyo line ya voda. Kma simu yako ni line mbili set kwanza default sim for sms and call kuwa hyo line ya voda ndio umalizie set up. Ukishaset unaweza rudisha settings zako kma zamani
 
Kwani hiyo mpesa app inafanya kazi gani hasa??
Kma menu ya m pesa ilivyo ila hii inatumia internet na iko fast zaid. Pia unakuonesha salio lako bila kukatwa hela na inakuonesha makato ya muamala unaotaka kufanya. Kwahyo unakua unajua kma hela uliyokuwa nayo itatosha au kama haitoshi unarudi back tu na kubadilisha amount. Hakuna mambo ya USSD timeout wala yale mambo ya Connection Problem. Na My Vodacom pia inakupa detail za mabando yako(MB, dkk, sms), kujiunga vifurushi na mambo mengine yanayohusu line yako
 
Truecaller inarecord simu kwenye samsung A series? Napata shida kupata app/apk or whaever ya kurecord simu kwenye A series. Naona kama wame restrict. Msaada tafadhali...
Sina utaalamu sana kwenye hili mkuu,
labda Chief-Mkwawa atusaidie katika hili.
 
Ni lazima uwe unatumia data ya hyo line ya voda. Kma simu yako ni line mbili set kwanza default sim for sms and call kuwa hyo line ya voda ndio umalizie set up. Ukishaset unaweza rudisha settings zako kma zamani
Now nimefanikiwa mkuu, asante sana....
 
alafu click create download link
Ina option ya ku download?
 
Back
Top Bottom