Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Biashara mf unauza nguo umeweka mtaji wa m.2 je umekaa mwezi mzima kiasi gani cha faida utasema niendelee na biashara?biashara gan? kuna biashara mingi
unaeza hata uza genge ukaweka viaz vya 50K na ukapata 40K faida
Inategemea mzunguko wa biashara, bei ulochukulia na aina ya wateja wako....Biashara mf unauza nguo umeweka mtaji wa m.2 je umekaa mwezi mzima kiasi gani cha faida utasema niendelee na biashara?
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
ShukraniWewe sio mfanyabiashara ndugu jaribu jambo lingine! Unauliza faida ya Biashara kabla ya kuanza, inamaana unaogopa sana hasara akili yako iko kwene faida tu! Faida ya mtu inategemea na aina ya Biashara na uhitaji kwa wateja wake kuna faida unapiga adi 50