Ni Audi Q5 au Volkswagen Tiguan?

Ni Audi Q5 au Volkswagen Tiguan?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wazee na wataalamu wa mandinga makali nakuja tena kwenu mnipe uchanganuzi wa hizo gari mbili. Ninaplan ya kuagiza gari ila mpaka sasa sijui niagizw ipi bado nakuwa dilemma kwenye kumake choice. Audi Q5 naielewa sana na jinsi ilivyokaa kibabe walahi inanipa mzuka sana, nikija kwa Volks Tiguan nayo naielewa sana na ilishakua kwenye plan zangu kitambo.

Sasa ndugu zangu mimi kuja hapa ni kunipa ushauri wa gari ipi nzuri mnayonishauri mimi kutoa pesa? Karibuni kwa majadiliano yenu.

Audi Q5:
IMG_0140.jpg

IMG_0141.jpg

IMG_0142.jpg

Volkswagen Tiguan

IMG_9811.jpg

IMG_9810.jpg
 
Kwakuwa umeipenda Q5 chukua hiyo ili roho yako isuuzike maana zoote hizo ni za kizungu,kuzimiliki na kuzifanya ziende zinahitaji mambo mengi zaidi ya kuwa na uwezo wa kuzinunua
 
Wazee na wataalamu wa mandinga makali nakuja tena kwenu mnipe uchanganuzi wa hizo gari mbili. Ninaplan ya kuagiza gari ila mpaka sasa sijui niagizw ipi bado nakuwa dilemma kwenye kumake choice. Audi Q5 naielewa sana na jinsi ilivyokaa kibabe walahi inanipa mzuka sana, nikija kwa Volks Tiguan nayo naielewa sana na ilishakua kwenye plan zangu kitambo.

Sasa ndugu zangu mimi kuja hapa ni kunipa ushauri wa gari ipi nzuri mnayonishauri mimi kutoa pesa? Karibuni kwa majadiliano yenu.

Audi Q5:View attachment 2592245
View attachment 2592246
View attachment 2592247

Volkswagen Tiguan

View attachment 2592248
View attachment 2592249
Haya magari ni ndoa ya Kikristo, Mwisho wa kunukuu
 
Cheki Nissan Xtrail T32/NT32 2018 au late 2017 facelift, kama utaipenda, kodi mtelezo tuu, na unapata gari latest.
 
safi kabisa latest xtrial na klugger ni ngari nzuri, pia acheki latest mistubish outlander
 
Kwa durability Tiguan ila naona ni kadogo kama dualis angalau Q5 kidogo inaukubwa.

Ungeongeza nguvu uchukue harrier 2014 au kama unajiweza zaidi Fortuner 2015.
 
Ungekua unataka durability na liability ungesha chagua Toyota

Ila kwa sasa naona unataka comfortability na prestige

Hapo nenda moja kwa moja kwenye aud
 
Back
Top Bottom