Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Wazee na wataalamu wa mandinga makali nakuja tena kwenu mnipe uchanganuzi wa hizo gari mbili. Ninaplan ya kuagiza gari ila mpaka sasa sijui niagizw ipi bado nakuwa dilemma kwenye kumake choice. Audi Q5 naielewa sana na jinsi ilivyokaa kibabe walahi inanipa mzuka sana, nikija kwa Volks Tiguan nayo naielewa sana na ilishakua kwenye plan zangu kitambo.
Sasa ndugu zangu mimi kuja hapa ni kunipa ushauri wa gari ipi nzuri mnayonishauri mimi kutoa pesa? Karibuni kwa majadiliano yenu.
Audi Q5:
Volkswagen Tiguan
Sasa ndugu zangu mimi kuja hapa ni kunipa ushauri wa gari ipi nzuri mnayonishauri mimi kutoa pesa? Karibuni kwa majadiliano yenu.
Audi Q5:
Volkswagen Tiguan