Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Tuanzie kwenye sifa zao kwanza na si ubora wa muonekano.Audi Q5 ni bora zaidi..
Audi Q5 ni bora zaidi..
Tiguan mnyama sana [emoji91]
Unataka afikirie nje ya box.Toyota hutaki?
anaenekana ana pesa, aseme anataka gari kwa matumiz na muundo upii alambe vyuma vya kuanzia 2019 ToyotaUnataka afikirie nje ya box.
Haya magari ni ndoa ya Kikristo, Mwisho wa kunukuuWazee na wataalamu wa mandinga makali nakuja tena kwenu mnipe uchanganuzi wa hizo gari mbili. Ninaplan ya kuagiza gari ila mpaka sasa sijui niagizw ipi bado nakuwa dilemma kwenye kumake choice. Audi Q5 naielewa sana na jinsi ilivyokaa kibabe walahi inanipa mzuka sana, nikija kwa Volks Tiguan nayo naielewa sana na ilishakua kwenye plan zangu kitambo.
Sasa ndugu zangu mimi kuja hapa ni kunipa ushauri wa gari ipi nzuri mnayonishauri mimi kutoa pesa? Karibuni kwa majadiliano yenu.
Audi Q5:View attachment 2592245
View attachment 2592246
View attachment 2592247
Volkswagen Tiguan
View attachment 2592248
View attachment 2592249
Toyota hutaki?
Cheki Nissan Xtrail T32/NT32 2018 au late 2017 facelift, kama utaipenda, kodi mtelezo tuu, na unapata gari latest.Wazee na wataalamu wa mandinga makali nakuja tena kwenu mnipe uchanganuzi wa hizo gari mbili. Ninaplan ya kuagiza gari ila mpaka sasa sijui niagizw ipi bado nakuwa dilemma kwenye kumake choice. Audi Q5 naielewa sana na jinsi ilivyokaa kibabe walahi inanipa mzuka sana, nikija kwa Volks Tiguan nayo naielewa sana na ilishakua kwenye plan zangu kitambo.
Sasa ndugu zangu mimi kuja hapa ni kunipa ushauri wa gari ipi nzuri mnayonishauri mimi kutoa pesa? Karibuni kwa majadiliano yenu.
Audi Q5:View attachment 2592245
View attachment 2592246
View attachment 2592247
Volkswagen Tiguan
View attachment 2592248
View attachment 2592249
ebu nitajie toyota ulizo endesha?Toyota nimeendesha sana ndugu yangu.
safi kabisa latest xtrial na klugger ni ngari nzuri, pia acheki latest mistubish outlanderCheki Nissan Xtrail T32/NT32 2018 au late 2017 facelift, kama utaipenda, kodi mtelezo tuu, na unapata gari latest.